Kenya: Waziri wa Elimu Prof.Magoha azungumzia mkanganyiko ulioko kuhusu mfumo mpya wa CBC
Profesa Magoha alisisitiza kuwa wanafunzi wa kwanza wa mfumo wa CBC hawatarejea katika mfumo wa zamani wa 8-4-4.
Profesa Magoha alisisitiza kuwa wanafunzi wa kwanza wa mfumo wa CBC hawatarejea katika mfumo wa zamani wa 8-4-4.
Kauli ya tume ya uchaguzi inajiri baada ya Chege kudai kuwa chama cha Jubilee kilishinda uchaguzi mkuu wa 2017 baada ya kuiba kura
Zaidi ya watu 300,000 wametia saini ombi la mtandaoni la kumtaka Zouma ashtakiwe.
Takriban watu sita waliuawa katika mji mkuu wa Somalia Alhamisi katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga lililodaiwa kutekelezwa na…
Uamuzi wa Jumatano wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki ulikuwa hitimisho la mvutano wa muda kati ya nchi hizo
Damiba ataapishwa Februari 16 katika mji mkuu wa Ouagadougou.
Wakenya wamepewa siku 120 kuwasilisha maoni yao kuhusu kuanzishwa kwa sarafu ya kidijitali CBDC
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilitaka kulipwa fidia ya dola bilioni 11 kutokana na mzozo huo uliodumu kutoka 1998 hadi 2003.
Utoaji mimba chini ya hali yoyote umepigwa marufuku El Salvador tangu 1998 hata katika hali ambapo afya ya mama ipo hatarini
Janga la mwisho la kipindupindu lilikuwa kati ya Januari na Agosti 2020, wakati watu 66 walipofariki