Mwandishi wa Uganda aliyeteswa akimbia uhamishoni
Wakili alisema mteja wake alikuwa akitafuta matibabu nje ya nchi kutokana na majeraha aliyoyapata.
Wakili alisema mteja wake alikuwa akitafuta matibabu nje ya nchi kutokana na majeraha aliyoyapata.
Waziri wa Afya Mutahi Kagwe amesema kuwa watu milioni 6.5 wamechanjwa kikamilifu.
Huko Asia Kusini, mara nyingi mvulana anaaminika kuwapa wazazi wake usaidizi wa kifedha zaidi kuliko binti.
Compaore anashtakiwa bila kuwepo mahakamani kwa tuhuma za kushambulia usalama wa serikali, kuficha maiti na kushiriki katika mauaji.
Teranga Lions iliishinda Misri kwa mabao 4-2 katika mikwaju ya penalti katika fainali iliyochezwa Jumapili nchini Cameroon.
Mvua haijanyesha katika misimu ya mvua mitatu mfululizo huku eneo hilo likishuhudia hali ya ukame mbaya zaidi tangu 1981, shirika la Umoja wa Mataifa lilisema.
Zoezi hilo la siku 20 lilitarajiwa kupata wapiga kura wapya milioni 4.5.
Sudan, ambayo tayari ilikuwa katika hali mbaya ya mzozo wa kiuchumi kabla ya mapinduzi, imeshuhudia misaada muhimu ya kigeni ikikatwa kama sehemu ya kulaani unyakuzi huo.
Rukirabashaija alisema vifaa vya chuma vilitumika kumsababishia majeruhi. Alidai kudungwa sindano ya kitu kisichojulikana mara kadhaa kinyume na matakwa yake.
Watumiaji wa mitandao ya kijamii walihoji jinsi Gadot alivyolisifu jeshi la Israel na kukosoa vuguvugu la Kiislamu la Palestina Hamas wakati wa vita vya 2014 huko Gaza.