Rais wa Malawi avunja baraza lake la mawaziri
Baraza la mawaziri lilivunjwa baada ya mazungumzo ya simu ya mkuu wa kupambana na ufisadi kuvuja na kusambaa mitandaoni
Baraza la mawaziri lilivunjwa baada ya mazungumzo ya simu ya mkuu wa kupambana na ufisadi kuvuja na kusambaa mitandaoni
Serikali ya jeshi ilisema katika taarifa kwamba “wanajeshi hao walitumwa nchini humo bila idhini.”
Wanawake wawili wa miaka thelathini, wanaume wanne wenye umri wa miaka thelathini, mtoto mmoja, waliuawawa katika msongamano huo
Wanajeshi wametwaa mamlaka nchini humo kufuatia maasi yaliyotokana na kushindwa kwa rais kuwadhibiti waasi wa Kiislamu.
Mwanamume huyo anayeaminika kuwa kati ya umri wa miaka 16 hadi 35 alipatikana kwenye sehemu ya gurudumu la ndege hiyo.
Mkasa huo umetokea wakati taifa hilo likiwa mwenyeji wa mashindano ya soka ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON
Serikali ilikuwa imekanusha uvumi siku ya Jumapili kwamba mapinduzi yalikuwa yakiendelea huku milio ya risasi ikisikika katika kambi tofauti za kijeshi.
Armen Sarkissian, amekuwa rais tangu 2018, alikuwa katika mzozo na Waziri Mkuu Nikol Pashinyan kuhusu kufutwa kazi kwa mkuu wa majeshi.
Mwanamke huyo alipatikana na hatia ya kukufuru kwa kumtusi Mtume Muhammad katika jumbe alizotuma kupitia WhatsApp
Watu wanaotaka kujitenga mara kwa mara hushambulia shule ambazo wanazituhumu kufundisha kwa Kifaransa, na kuua watumishi wa umma.