Watu wanne na mtoto waganda kwa baridi hadi kufa katika mpaka wa US-Canada
Nyuzi joto siku ambapo miili hiyo ilipopatikana, ilikuwa nyuzi 35 chini ya Selsiasi.
Nyuzi joto siku ambapo miili hiyo ilipopatikana, ilikuwa nyuzi 35 chini ya Selsiasi.
sShirika hilo linasubiri uchunguzi zaidi kumhusu abiria huyo ambaye amewekwa kwenye orodha ya watu wasioruhusiwa kusafiri na shirika hilo.
Ajali ilihusisha lori lililokuwa likisafirisha vilipuzi vya kampuni ya uchimbaji madini, pikipiki na gari.
Algeria walikuja kwenye michuano hiyo na rekodi ya kutoshindwa kwa muda wa miaka mitatu iliyopita.
mapacha hao — mmoja wa kiume na mmoja wa kike — walizaliwa na tembo anayeitwa Bora.
Visa vya UVIKO-19 na idadi ya vifo imepungua kwa mara ya kwanza tangu wimbi la nne kuripotiwa
Wanandoa wawili waliooana nje ya Namibia walikuwa wameomba Mahakama Kuu kutambua ndoa zao.
Ujenzi wa makao makuu unafanyika kwenye ardhi ambayo jamii za Khoisan huchukulia kuwa takatifu.
Misri, Ivory Coast,Mali,Gambia,Malawi na Cape Verde zimefuzu kuwa kati ya timu 16 bora.
Sudan imetikiswa na maandamano ya mara kwa mara na ukandamizaji wa haki za watu tangu unyakuzi wa kijeshi wa Oktoba 25