Meya wa Ufilipino awaamuru wafanyikazi wa umma ‘watabasamu’ au watozwe faini
Meya wa Ufilipino amewaamuru watumishi wa umma kutabasamu, au huenda wakatozwa faini, huku akijaribu kuboresha kiwango cha huduma zinazotolewa na serikali ya eneo hilo
Meya wa Ufilipino amewaamuru watumishi wa umma kutabasamu, au huenda wakatozwa faini, huku akijaribu kuboresha kiwango cha huduma zinazotolewa na serikali ya eneo hilo
Mji mkuu wa Kenya Nairobi umetajwa katika orodha ya World’s Greatest Places 2022 iliyotolewa na Jarida la Time.
Takriban wahamiaji 23 ambao walikufa mwezi uliopita katika jaribio la kuingia katika eneo la Uhispania la Melilla kutoka Morocco huenda “walikosa hewa,’ shirika la kutetea haki za binadamu la CNDH lilisema.
Bodi maalum iliyoteuliwa na serikali ya Ethiopia kuangalia uwezekano wa mazungumzo ya amani na waasi wa Tigray imefanya mkutano wake wa kwanza, msaidizi mkuu wa Waziri Mkuu Abiy Ahmed alisema
Utafiti wa hivi punde zaidi wa Infotrak unaonyesha kuwa Naibu Rais William Ruto anaungwa mkono kwa wingi katika eneo la Mlima Kenya.
Twitter ilimshtaki Elon Musk kwa kukiuka mkataba wa dola bilioni 44 aliotia saini ili kununua kampuni hiyo ya kiteknolojia
Mwanariadha mwenye kasi zaidi barani Afrika Ferdinand Omanyala ni mwingi wa wasiwasi huku, akisubiri visa ya Marekani ili aweze kushiriki Mashindano ya Riadha ya Dunia.
Rais wa Sri Lanka aliondoka nchini mwake kwenda Maldives mapema Jumatano baada ya miezi kadhaa ya maandamano kupinga mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi wa taifa lake
Ivory Coast inaitaka Mali kuwaachilia huru wanajeshi wake 49 waliozuiliwa katika uwanja wa ndege wa Bamako na kushutumiwa na maafisa kuwa mamluki.
Marriot alisema kuwa taifa lake halitaegemea upande wowote na halina ajenda ila kusaidia kuhakikisha watu wa Kenya wanakuwa na uchaguzi wenye mafanikio.