Wanafunzi wa Uganda wadaganya kuwa wazazi wameaga dunia ili wapate mikopo ya elimu
Wanafunzi wa Uganda wadaganya kuwa wazazi wameaga dunia ili wapate mikopo ya elimu
Wanafunzi wa Uganda wadaganya kuwa wazazi wameaga dunia ili wapate mikopo ya elimu
Mtu mwenye nguvu zaidi duniani, Iron Biby, kutoka Burkina Faso avunja rekodi ya kuinua chuma chenye uzito wa 229 kg
Somalia imeonyesha filamu yake ya kwanza baada ya miaka 30 chini ya ulinzi mkali Jumatano 22 nchi hiyo ikiwa na…
Taliban inataka kushirikishwa katika mijadala ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) Marekani
Mwanamke aliyekuwa katika ndoa kwa miaka 19 bila kushirki kitendo cha ndoa amempa mumewe talaka. Rebecca Magaba alimpa mumewe Zablon…
Jumamosi ya tarehe 21 mwezi Septemba, duka la jumla la Westgate Mall lilishambuliwa na watu waliokuwa na silaha kali na kuwaua watu 72 na kuwaacha wengine wengi na majeraha.
Zaidi ya viongozi 100 na wakuu wa serikali wanakutana katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) unaofanyika…
Pacha wawili kutoka Japan wamethibitishwa na Guiness World Records kuwa pacha wazee zaidi duniani wakiwa na umri wa miaka 107 na siku 300.
Takriban maafisa 40 wa jeshi wanaodaiwa kuhusika na jaribio hilo la mapinduzi wamekamatwa.
Wafahamu waigizaji wenye asili ya Afrika wanaong’aa Amerika