Mwimbaji R. Kelly ahukumiwa miaka 30 jela kwa uhalifu wa ngono
Mwimbaji wa RnB kutoka Marekani R. Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kutumia hadhi yake kuendesha mpango wa kuwadhalilisha kingono watoto na wanawake.
Mwimbaji wa RnB kutoka Marekani R. Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kutumia hadhi yake kuendesha mpango wa kuwadhalilisha kingono watoto na wanawake.
Mvutano umekuwa ukiongezeka katika nchi hiyo kabla ya upigaji kura wa wabunge wa Julai 31, unaoonekana kuwa uchaguzi muhimu kwa Rais Macky Sall.
Mwagizaji mkuu wa ngano duniani Misri itapokea dola milioni 500 kutoka kwa Benki ya Dunia ili kupunguza athari za vita kati ya wasambazaji wake wakuu Urusi na Ukraine.
Takriban wafungwa 52 waliuawa na wengine 26 kujeruhiwa mapema Jumanne baada ya moto kuzuka wakati wa ghasia za magereza kusini magharibi mwa Colombia
KSh70 milioni zimetengwa kujenga makazi salama nchini Saudi Arabia ambako wafanyakazi kutoka kenya wamepitia mateso ya kiakili na kimwili na ukiukaji wa haki zao.
Mahakama ya Misri ilimhukumu kifo mwanamume mmoja kwa mauaji ya mwanafunzi ambaye alikataa ombi la kuwa katika uhusiano nae,
Ghna inakabiliwa na mdororo wa kiuchumi uliochochewa na janga la corona na athari za vita vya Urusi nchini Ukraine, limeshuhudia mfumuko wa bei ukiongezeka hadi zaidi ya asilimia 27
Afrika Kusini iliweka mgao mgumu zaidi wa umeme katika kipindi cha miaka miwili na nusu baada ya mizozo ya wafanyakazi kutatiza uzalishaji katika mitambo kadhaa.
Tetemeko la kipimo cha 5.9 lilipiga jimbo la Paktika mashariki mwa nchi, na kuua zaidi ya watu 1,000 na kuwaacha makumi kwa maelfu bila makazi.
Jimbo la Zamfara kaskazini mwa Nigeria litaruhusu watu kubeba bunduki ili kujilinda dhidi ya majambazi wenye silaha baada ya mamlaka kushindwa kuzuia ongezeko la utekaji nyara na mauaji.