Mwanzo Editor
-

Vikosi vya polisi Marekani viko katika tahadhari kabla ya uwezekano wa kukamatwa kwa Trump
Polisi katika miji mikuu ya Marekani wanajiandaa kwa ghasia zinazoweza kutokea iwapo rais wa zamani Donald Trump atakamatwa wiki hii kama sehemu ya uchunguzi wa pesa aliyotoa kama rushwa.
-

Kimbunga Freddy: Zaidi ya 400 bado hawajulikani walipo nchini Malawi
Mamlaka nchini Malawi zinasema idadi ya watu ambao bado hawajulikani walipo kufuatia Kimbunga Freddy imeongezeka kutoka 349 hadi 427, huku nchi nyingi zikiendelea kutuma misaada ya kibinadamu. Idara ya Masuala ya Kukabiliana na Majanga ya…
-

Miaka Miwili ya Rais Samia dhidi ya Wafugaji
Miaka Miwili ya Rais Samia Kwa Jamii ya kifugaji imekua ni kilio badala ya Furaha, tumenyanyaswa na kuumizwa na serikali yetu wenyewe
-

Burna Boy kutumbuiza katika fainali za UEFA
Msanii wa Nigeria na mshindi wa Tuzo za Grammy Burna Boy atatumbuiza katika sherehe za uzinduzi wa fainali za kuwania Kombe la Ligi ya championi ya UEFA mjini Istanbul, Turkey.
-

Maelfu ya watu wanawakimbia waasi wa Kiislamu nchini DR Congo
Wanatoroka mfululizo wa mashambulizi ya waasi wa Kiislamu wa Allied Democratic Forces (ADF) katika jimbo hilo.
-

Tanzania probes mystery illness after five die
The illness was detected in “a total of seven people (with) symptoms including fever, vomiting, bleeding in various body parts and kidney failure
-

Marekani yatishia kuipiga marufuku TikTok iwapo haitauzwa – ripoti
Serikali ya Marekani inasema TikTok lazima iuzwe la sivyo ikabiliwe na uwezekano wa kupigwa marufuku nchini humo, kwa mujibu wa ripoti.
-

Kampuni ya Kitanzania ilihamisha pesa kabla ya benki ya SVB kuporomoka
Kampuni za Kiafrika zinafuatilia kwa karibu kuona nini kitatokea baada ya kuporomoka kwa Benki ya Silicon Valley
-

Idadi ya vifo kutokana na Kimbunga Freddy nchini Malawi yafikia 99
Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Freddy nchini Malawi imeongezeka hadi 99 Jumatatu, huku vifo 85 vikirekodiwa katika jiji la Blantyre pekee, mamlaka ilisema.
-

Lady Gaga Performs Emotional Rendition Of ‘Hold My Hand’
Lady Gaga took the stage to perform an emotional and raw rendition of her Oscar-nominated song “Hold My Hand” during the Academy Awards on Sunday night.







