Lissu Aanza Kujitetea Mwenyewe Kesi Ya Uhaini, Akumbushia Kupigwa Risasi
Lissu amekuwa shahidi wa kwanza wa utetezi na ameanza kutoa ushahidi wake chini ya kiapo, akieleza kuwa hajawahi kutoa ushahidi mahakamani na hivyo kuomba aongozwe katika hatua hiyo.