-

Wakenya wasubiri matokeo ya Urais kwa hamu na ghamu
Wakenya, ambao baadhi yao walijipanga kabla ya alfajiri kupiga kura hapo jana, walipiga kura katika chaguzi sita na kumchagua rais mpya pamoja na maseneta, magavana, wabunge, wawakilishi wanawake na baadhi ya maafisa 1,500 wa kaunti.
-

Kenya: Uchaguzi wenye matumini ya mabadiliko
Zaidi ya watu milioni 22, takriban asilimia 40 kati yao wakiwa chini ya umri wa miaka 35, wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi huu uliokumbwa na hali ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei, ukame unaoadhibu na…
-

Papua New Guinea prime minister Marape re-elected
Papua New Guinea’s Prime Minister James Marape was sworn in for a second term Tuesday, after an election hit by violence.
-

Pasi za kusafiria kikwazo kwa Wakenya wanaopiga kura uchaguzi wa Kenya
Upigaji kura huo umefanyika leo Agosti 9, 2022 katika Ubalozi wa Kenya nchini Tanzania, ukihusisha vituo viwili vilivyoandikisha wapigakura 496 kila kimoja kwa Jiji la Dar es Salaam.
-

‘Baba’ Odinga: Kenya’s diehard presidential hopeful
Odinga, who was born on January 7, 1945 and is fondly known as “Baba” or “daddy” in Swahili, is now caught in a complex balancing act.
-

Rais Samia: Kila la kheri Wakenya
Amewataka Wakenya “kudumisha amani, umoja na mshikamano” na kuongeza “kila la kheri”.
-

Kenyans vote in close-fought election race
Kenyans lined up before dawn to vote in a high-stakes election Tuesday, with the East African powerhouse on edge as two political heavyweights battle it out.
-

Raila na Ruto: washirika waliogeuka wahasimu wa kisiasa
Raila Odinga na William Ruto wamekuwa na uhusiano wa upendo na uhasama kwa muongo mmoja sasa, wote wakiwa wamechangia pakubwa katika siasa za urithi wa rais wa pili wa Kenya hayati Daniel Toroitich arap Moi.…
-

Kenyan election in facts and figures
Kenya votes Tuesday to elect its fifth president since independence from Britain six decades ago.
-

Zoezi la upiga kura laanza kenya wawaniaji wakijitokeza mapema kushiriki.
Wakenya watakuwa wanawachagua nafasi sita za uongozi, ikiwa ni rais, magavana, maseneta, wawakilishi wa wanawake, wabunge na wawakilishi







