Africa
-

Africa facing climate impact ‘nightmare’: President Ruto
The crushing impacts of climate change are already a “living nightmare” for people across Africa, Kenyan President William Ruto told world leaders at UN talks on Monday. The UN climate Conference of the Parties talks…
-

Seneta wa Nigeria kukabiliwa na kesi ya uvunaji wa viungo Uingereza
Ike Ekweremadu, 60, anatuhumiwa na mkewe, Beatrice, 56, binti yao, Sonia, 25, na daktari kwa kumleta mwanamume ,21, kutoka Nigeria ili figo yake iondolewe
-

Serikali ya Tanzania yatarajia kukusanya na kutumia kiasi cha shilingi trilioni 43. 29 kwa mwaka wa fedha 2023/24
Waziri wa Fedha na Mpango, Dk Mwigulu Nchemba amewasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka wa fedha 2023/24 katika Kamati ya Bunge zima ambapo inatarajia kukusanya na kutumia shilingi trilioni 43.3.
-

Tanzania yatuma risala za rambirambi kwa waathiriwa wa ajali ya ndege
Watanzania waliokuwa na majonzi Jumatatu walituma risla za rambi rambi kwa watu 19 waliofariki dunia wakati ndege ya abiria ilipotumbukia Ziwa Victoria katika ajali mbaya zaidi ya anga kuwahi kutokea kwa miongo kadhaa nchini humo.…
-

Tanzanian Vuta N’Kuvute (Tug of War) wins top prize at Carthage Film Festival
Tanzanian film “Tug of War” is about love and politics during the final years of British colonial Zanzibar
-

Tanzania’s Precision Airplane crashes into Lake Victoria
A plane carrying 43 people plunged into Lake Victoria in Tanzania early on Sunday shortly before it was due to land in the city of Bukoba
-

Mali yasimamisha kituo kikuu cha Habari
Moja ya vituo vikuu vya habari nchini humo imesimamishwa kwa miezi 2 kufuatia ukosoaji wa utawala wa kijeshi uliofanywa na mmoja wa waandishi wake wakuu
-

China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania
Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini pia imeshuhudia nchi hiyo ikiipunguzia Tanzania sehemu ya deni lake lenye thamani ya shilingi bilioni 31.4.
-

Senegal opposition leader appears in court over rape case
Ousmane Sonko, 48, was accused last year of raping an employee of a beauty salon where he was getting a massage
-

Karua moves to East African Court over presidential poll ruling
In her application alongside Director at Muslims for Human Rights (MUHURI) Khelef Khalifa, Karua is seeking an alternative opinion on the grievances she raised against IEBC and President William Ruto at the Apex Court.







