Africa
-

Rais wa Equatorial Guinea azindua juhudi za kuwania muhula wa sita
Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ambaye ametawala nchi yake kwa miaka 43, amezindua azma yake ya kuwania muhula wa sita
-

Zimbabwe asks for public view on judges’ wigs
Zimbabweans have been asked to help decide whether judges should stop the colonial tradition of wearing wigs and to suggest alternative headgear in a public consultation that ends on Thursday.
-

Ndovu 110 wakufa kutokana na kiangazi katika mbuga ya wanyamapori ya Tsavo
Ndovu 110 wamefariki kutokana na kiangazi katika mbuga ya wanyamapori ya Tsavo. Mkurugenzi mkuu wa shirika la kulinda na kuhifadhi wanyamapori nchini KWS Brigedia mstaafu John Waweru anasema nyati 32 pia wamefariki katika kiangazi hicho…
-

Dk Mpango: Mradi wa SGR utaongeza ufanisi matumizi ya ukanda huru wa biashara Afrika.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema kutekelezwa kwa mradi wa Reli ya kisasa (SGR) kutoka Uvinza mkoani Kigoma nchini humo hadi Kindu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupitia Gitega nchini Burundi kutaongeza…
-

Polisi nchini Tanzania watiwa mbaroni wakidaiwa kusafirisha wahamiaji haramu.
Polisi watano wa kituo kidogo cha Uyole jijini Mbeya nchini Tanzania wamekamatwa kwa tuhuma za kula njama na kutaka kusafirisha wahamiaji haramu sita raia wa Ethiopia.
-

Rais Samia aanza ziara China
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Beijing, China kwa ziara ya kiserikali inayolenga kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
-

Serikali yatoa sababu za kusitisha zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kieletroniki.
Kauli hiyo imetolewa leo bungeni Dodoma na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo.
-

‘Excellent news’: world hails Ethiopia truce
US Secretary of State Antony Blinken also hailed the agreement, as well as the “extraordinary efforts” of African Union mediators in bringing it about.
-

Bodi ya Mikopo Tanzania yaendelea kuandamwa, yadaiwa kutoa mikopo ya shilingi bilioni 1 kwa wanafunzi wasiostahili.
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (PAC) imebaini utoaji wa mikopo inayofikia shilingi bilioni 1.76 kwa wanafunzi wasiostahili katika kipindi cha kati ya mwaka 2016 hadi mwaka 2018.
-

Mradi wa visima vya maji kupunguza adha ya upatikanaji maji Dar
Mradi huo unahusisha visima saba na tenki la kuhifadhia maji lenye ukubwa la lita 15 milioni unatekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Dawasa) umekamilika kipindi ambacho jiji la Dar es Salaam lina…







