Africa
-

Tanzania kutoa chanjo ya polio awamu ya tatu nchi nzima
Waziri wa Afya nchini humo Ummy Mwalimu amesema utoaji wa chanjo hiyo ni kufuatia mlipuko wa ugonjwa huo uliotokea katika nchi jirani ya Malawi mnamo Februari 17, 2022 na kisha nchini Msumbiji mnamo Mwezi Mei…
-

Johnson Sakaja- The ‘Miracle Candidate’
President elect William Ruto described Johnson Sakaja as a ‘miracle candidate’ during his swearing in ceremony, as his gubernatorial journey was marked by a series controversies and challenges.
-

Ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kutengeneza silaha bandia
Silaha alizokutwa nazo ni aina ya AKA 47 (SMG) 11, Uzgun moja, bastola tano, fulana mbili za kujikinga na risasi mbili zilizotengenezwa kwa kutumia plastiki na mbao.
-

Kishikwambi kingine cha sensa chaibiwa Moshi
Mratibu wa Sensa Mkoa wa Kilimanjaro, Albert Kulwa ametoa taarifa hiyo leo Ijumaa Agosti 26, 2022 wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Moshi, ambapo amesema tukio hilo ni la kizembe na limetokea Agosti 25.
-

Watu watatu wamefariki na wengine 316 wakiugua surua visiwani Zanzibar.
Kwa mujibu wa Meneja wa Kitengo cha Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dk Bakar Magarawa mlipuko wa ugonjwa huo umetokea ndani ya kipindi cha mwezi mmoja uliopita.
-

Uamuzi wa kesi ya kina Mdee na wenzake kutolewa Septemba 2
Hatua hiyo imekuja baada ya kiongozi wa jopo la mawakili wa Chadema, Peter Kibatala kuwasilisha ombi mbele ya Jaji Cyprian Mkeha kuwa atoe hati ya wito kwa wabunge hao ili waje kuwahoji mahakamani hapo kuhusiana…
-

Anayedaiwa kuiba Kishikwambi cha sensa kufikishwa mahakamani leo
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amesema mtuhumiwa anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi Tanzania, baada ya kupora kishikwambi kwa karani wa sensa katika kata ya Majimoto halmashauri ya Mpimbwe atafikishwa mahakamani leo Augost 26,…
-

TWAWEZA:Tozo za miamala zinadhihirisha changamoto ya utawala
Kwa mujibu wa ripoti hiyo ni kwamba maoni ya wananchi kuhusu tozo za miamala ya fedha kwa njia ya simu yanadhihirisha changamoto ya utawala.
-

Mbowe amkumbuka Mrema kwa uthubutu wake kwenye misimamo ya kazi
Amesema Mrema alikuwa ni kiongozi ambaye alikuwa akikosoa na kupinga pale panapostahili na kusukuma vita ya kutafuta haki, demokrasia, uhuru na maendeleo ya Watanzania kupitia vyama vya siasa.








