Africa
-

TMDA yakamata aina 34 ya dawa zikiuzwa kiholela
Taarifa hiyo imetolewa leo na Meneja wa TMDA, Kanda ya Ziwa Magharibi Ofisi za Geita, Dk Edgar Mahundi wakati akikabidhi dawa hizo kwa mkuu wa mkoa wa Geita mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama…
-

Old bomb kills 13 scrap scavengers in northeast Nigeria
“The bomb exploded as they were pushing it in a cart toward the town, killing 13 and seriously injuring three,” Babakura Kolo, a leader in a local anti-jihadist militia
-

Ushelisheli ndio taifa nambari moja barani Afrika kwa uhuru wa vyombo vya habari
Namibia imepoteza nafasi yake ya kwanza kwenye Fahirisi ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ya 2022 kwa Afrika, ikiibuka katika nambari ya pili.
-

Two Burkina soldiers killed in rebel attack
Armed Islamists based in neighbouring Mali began mounting cross-border raids on Burkina Faso, and neighbouring Niger, in 2015.
-

Tanzania kupokea watalii milioni tano 2025.
Waziri wa Maliasili na Utalii nchini humo, Balozi Pindi Chana alisema hayo jana jijini Arusha wakati akifungua kikao cha wadau wa utalii kujadili changamoto na kutoa ushauri ili kuboresha mazingira ya sekta hiyo.
-

Tunisia’s Saied set to win vote on bolstering president’s powers
An overwhelming 92-93 percent of those who voted supported the new constitution, according to an exit poll taken by the Sigma Conseil institute. Initial results are due Tuesday afternoon.
-

One person killed fighting Morocco forest fire
Several outbreaks of varying magnitude have resumed in recent hours in northern Morocco, particularly in Larache province, which was recently devastated by forest fires that left one dead.
-

Wanafunzi 8 wafariki kwenye ajali mkoani Mtwara, Rais Samia atuma salam za pole
Ajali hiyo imetokea leo Jumanne Julai 26, 2022, baada ya basi lililokuwa limebeba wanafunzi wa Shule ya Msingi ya King David iliyopo Manispaa ya mtwara Mikindani kutumbukia shimoni.
-

Macron awasili Cameroon katika mkondo wa kwanza wa ziara yake Afrika Magharibi
Macron anatazamiwa kufanya mazungumzo Jumanne asubuhi katika ikulu ya rais na mwenzake Paul Biya, 89, ambaye ametawala Cameroon kwa takriban miaka 40.
-

Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergey Lavrov barani Afrika
Kwa mujibu wa shirika la habari la Urusi TASS, Lavrov anatazamiwa kufanya mazungumzo siku ya Jumanne na Rais wa Uganda Yoweri Museveni.







