Africa
-

Mawakili wa Serikali wakwamisha kesi ya CHADEMA
Kesi hiyo iliyopo mbele ya Jaji Adam Mambi imeahirishwa leo Jumanne, tarehe 5 Julai 2022, hadi Jumatatu ijayo ya tarehe 11 Julai 2022.
-

Wasichana wang’ara ufaulu wa masomo ya Sayansi kidato cha sita
Kwa upande wa watahiniwa waliofanya vizuri zaidi kitaifa katika mtihani huo kwenye masomo ya sayansi, wasichana wamekuwa kinara ambapo wako saba wote kutoka Shule ya Sekondari ya St. Mary’s Mazinde Juu, iliyoko mkoani Tanga, huku…
-

Algeria inaadhimisha miaka 60 ya uhuru kutoka kwa Ufaransa
Algeria ilijipatia uhuru wake kufuatia vita vikali vya miaka minane, ambavyo vilimalizika kwa kutiwa saini kwa Mkataba wa Evian mnamo Machi 1962.
-

Ivory coast kuanza kutumia unga wa muhogo kuoka mkate
Huku bei ya ngano ikiendela kupanda kutokana na vita nchini Ukraine, waokaji mikate Ivory Coast wanaanza kutumia unga wa muhogo kuoka mkate.
-

Aliyekuwa bosi wa TPA asomewa mashtaka akiwa kitandani Muhimbili
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ilihamia kwa muda jana katika hospitali hiyo kwa ajili ya kumsomea Kipande mashtaka yanayomkabili kuanzia saa 8:57 hadi saa 9:08 mchana, likiwamo la kuisababishia TPA hasara ya shilingi bilioni 4.2.
-

Morocco yawafungulia mashtaka wahamiaji baada ya janga la Melilla
Kesi ya wahamiaji 36 wanaoshtakiwa kwa ‘kuingia Morocco kinyume cha sheria,’ ilianza Jumatatu siku chache baada ya jaribio kubwa la kuvuka hadi katika eneo la Uhispania.
-

Samaki wa ajabu apatikana Mtwara nchini Tanzania
Samaki huyo alivuliwa na wavuvi wa hiyari, ambao hutega nyavu zao baharini, ambazo hubeba chochote kilichopo Baharini.
-

DR Congo yatangaza mwisho wa mlipuko wa hivi punde wa Ebola
Ebola ni homa ya virusi inayosababisha kuvuja damu ambayo iligunduliwa kwa mara ya kwanza Afrika ya kati mwaka wa 1976.
-

Kigogo TPA atumbuliwa
Rais Samia amechukua uamuzi huo saa chache baada kusema haridhishwi na kasi ya utendaji wa bandari za Tanzania na kuwataka watendaji waache siasa na longolongo wakati wa utekelezaji majukumu yao
-

Somalia yatoa leseni za kwanza kwa benki za kigeni
Benki inayomilikiwa na serikali ya Banque Misr ya Misri na Ziraat Katilim ya Uturuki zitakuwa benki za kwanza za kimataifa kufanya kazi nchini humo,







