Africa
-

Burkina Faso imemuamuru Blaise Compaore kulipa fidia kutokana na mauaji ya Thomas Sankara
Mnamo Aprili 6, Compaore, Kafando na Diendere walihukumiwa kifungo cha maisha kwa kupanga mauaji hayo, huku wengine wakifungwa miaka mitatu hadi 20 jela.
-

Somalia yasajili wagombea 39 kwa kura za urais
Uchaguzi huo umecheleweshwa kwa mwaka mmoja na umekumbwa na ghasia mbaya na mzozo wa kuwania madaraka kati ya Rais Mohamed Abdullahi Mohamed, na Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble.
-

Polisi wa Tanzania, watumia mabomu kuwatawanya wanafunzi waliofunga barabara mkoani Geita
Polisi mkoani Geita wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Buseresere waliofunga Barabara Kuu ya Bukoba-Mwanza baada ya gari la kampuni ya Fikoshi kumgonga mwanafunzi na kufariki dunia…
-

Tanzania: Wachoma gari la Hakimu kisha watokomea
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana ambapo watu wasiofahamika walichoma moto gari la Hakimu huyo ambaye anaishi kwenye nyumba za Mahakama
-

Mitaala 51 ya elimu yahakikiwa Tanzania
Serikali kupitia Baraza la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi, imehakiki mitaala 51 kati ya 150 iliyoandaliwa na vyuo vya elimu ya ufundi kwa lengo la kuhakikisha kuwa mafunzo yanayotolewa yanakidhi mahitaji ya…
-

Bilioni 100 zatolewa kukabiliana na upandaji bei wa Mafuta Tanzania
Akiwasilisha taarifa ya hali ya mafuta bungeni, waziri Makamba amesema, ruzuku hiyo haita athiri miradi ya serikali inayoendelea na uamuzi huo ni hatua ya serikali ya muda mfupi kupunguza ongezeko la bei ya mafuta kabla…
-

Raia 14 wauawa katika shambulizi mashariki mwa DR Congo
CODECO — jina la Ushirika wa Maendeleo ya Congo — ni dhehebu la kisiasa-kidini ambalo linadai kuwakilisha maslahi ya kabila la Lendu.
-

Mazungumzo ya COP15 yakukabiliana na kuenea kwa jangwa yafanyika Abidjan
Miongo kadhaa ya kilimo kisicho endelevu kimedhoofisha udongo duniani kote na kuharakisha ongezeko la joto duniani na upotevu wa viumbe, UNCCD inasema, huku takriban asilimia 40 ya ardhi ikiharibika kote duniani.
-

Wabadhirifu MSD kukiona,Waziri Mkuu asema wachukuliwe hatua
Majaliwa amesema hoja zote zilizotolewa katika ripoti ya CAG lazima zifanyiwe kazi na tayari Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU) imeanza kufanyia kazi hoja zote zilizotolewa kuhusu MSD.
-

Miili mingine yapatikana mto Mori
Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka amesema kuwa waopoaji hivi sasa wanaendelea na utafutaji wa mwili mmoja ambo ni wa mtoto wa miaka mitano.







