Africa
-

NCCR Mageuzi yaweka mgomo kushiriki vikao vya kikosi kazi
Chama hicho cha siasa za upinzania nchini Tanzania kimesema kushiriki mkutano huo ni kupoteza muda na kutumia vibaya rasilimali za Watanzania badala ya kujadili masuala muhimu ya uchumi kwa ajili ya wananchi
-

Panya Road wawa gumzo kila mahali, bunge laibua mbinu za kukabiliana nao
Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imelitaka Jeshi la Polisi nchini Tanzania kuhakikisha linaweka mbinu mbadala ili kutokomeza vitendo vya uhalifu mitaani vinavyofanywa na kundi la Panya Road.
-

Madeleka akabiliwa na kesi ya kuchapisha habari za uongo
Kutokana na kesi hiyo, upande wa mashitaka umeahidi kuleta mashahidi saba na vielelezo vitatu katika kesi hiyo itakayoanza kusikilizwa Mei 18, 2022.
-

Somalia to hold presidential election on May 15
Somalia has not held a one-person, one-vote election in 50 years.
-

WHO: Janga la UVIKO 19 liliua milioni 13 hadi 17 kati ya 2020-2021
Nchi za kipato cha juu zilichangia asilimia 15 ya vifo, Mataifa ya kipato cha kati yalichangia vifo asilimia 28; mataifa ya kipato cha chini asilimia 53; na nchi zenye kipato cha chini asilimia nne.
-

TikTok to launch ad revenue-sharing program for creators
TikTok says only accounts with at least 100,000 subscribers will be eligible for the first phase of the program.
-

Election influencers for hire: Kenya’s disinformation factories
The rising dominance of platforms like Twitter and Facebook has opened up a new front in Kenyan politics.
-

Guinea says will prosecute ousted president for murder
Guinea said Wednesday it would prosecute former president Alpha Conde, who was toppled in a military coup last September, for murder and other crimes committed during his time in office. Conde is among 27 former…
-

Suffering from knee pain, Pope Francis takes to wheelchair
Pope Francis used a wheelchair after an operation on his colon last summer.
-

Guinea itamfungulia mashtaka rais wa zamani Alpha Conde
Conde ni miongoni mwa maafisa wakuu 27 ambao wanakabiliwa na mashtaka ya mauaji, kulingana na hati iliyotolewa na mwendesha mashtaka wa umma Alphonse Charles Wright.







