Evelyn Acham on Tackling the Real and Catastrophic Climate Change Crisis
She is one individual who is mitigating the catastrophic impacts of climate change in order to provide effective solutions to this global hindrance.
She is one individual who is mitigating the catastrophic impacts of climate change in order to provide effective solutions to this global hindrance.
Kuanzia Julai 2023, walio na pasipoti za Kenya wanaweza kusafiri bila visa hadi nchi na maeneo 44.
Senior Principal Magistrate Robison Ondieki found the 86-year-old not guilty, ruling that the prosecution had not produced enough evidence to link Deya to the charges.
Madeleka kabla ya kukamatwa alilazimika kung’ang’ania kwa zaidi ya Dakika 30 katika chumba cha Mahakama (chember court) cha Jaji Aisha Bade ambaye awali ndiye alitoa maamuzi katika kesi yake ya kupinga makubaliano ya kukiri kosa.
Rais wa Hungary, Katalin Novak anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ziara ya kikazi ya siku nne.Kiongozi huyo anawasili nchini kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambapo takuwa nchini kwa siku nne kuanzia leo hadi Julai 20 mwaka huu
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya nchini humo bi Ummy Mwalimu ambaye pamoja na mambo mengine ameeleza kuwa katika kutekeleza hayo Tanzania imejipanga kuutokomeza UKIMWI kwa kuzingatia miongozo inayotolewa na Shirika la Afya Duniani, WHO kwa kuanzisha sera ya kupima na kutoa dawa kwa waathirika wa virusi hivyo.
Hivi karibuni Mwenyekiti wa UVCCM, Mohammed Kawaida kupitia vyombo vya habari alitoa taarifa ya kuhamasisha maandamano ya kuunga mkono Serikali katika uwekezaji wa bandari yaliyotarajiwa kufanyika Wilaya zote kuanzia Julai 18 mwaka huu.
Kulingana na toleo hili la mwaka 2023, watu bilioni 1.1 kati ya bilioni 6.1 (zaidi ya 18%) wanaishi katika umaskini mkubwa wa pande nyingi katika nchi 110.
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linawashikilia vijana watatu kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa shule ya sekondari Kishimba iliyopo Manispaa ya Kahama mkoani humo wakati akitoka dukani kununua vitu.
Wito huo umetolewa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika kikao chake cha kawaida chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan kilichofanyika Julai 09, jijini Dodoma.