Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji michuano ya AFCON
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid wamedhamiria kuwa mwenyeji wa michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (African Cup of Nations) 2027.