Masauni: Sativa hatoi ushirikiano mzuri kwa Polisi
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, amesema kumekuwa na ushirikiano mdogo kwa waathiriwa wa utekaji pindi wanapohitajika na Jeshi la Polisi kwa ajili ya kutoa ushirikiano utakaofanikisha upelelezi.