Maria Sarungi: Serikali ya Tanzania iko nyuma juu ya kutekwa kwangu nchini Kenya
Tsehai alitekwa Jumapili wakati akitoka saluni kutengeneza nywele zake eneo la katikati ya Nairobi ambapo wanaume watatu walimvuta kutoka kwenye teksi yake na kumwingiza kwenye gari lao.