Aidan Eyakuze alivyopigania mabadiliko kupitia Uwazi
Aidan Eyakuze ni mtaalamu aliyejitolea katika kupigania mabadiliko ya kijamii kupitia uwazi na ushiriki wa wananchi katika masuala ya kisiasa na utawala. Kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa OGP, Aidan alikuwa mkurugenzi wa shirika la Twaweza kwa kipindi cha miaka takribani 10