East Africa
-

Rais William Ruto Afafanua Mbona Aliwateuwa Manaibu Waziri 50
Rais William Ruto ameeleza ni kwa nini alikubali watu 50 aliowachagua kwa nyadhifa za mawaziri wasaidizi
-

Frustrated Kenyans voice anger over economic crisis
Inflation hit 9.2 percent in February, according to the latest government figures
-

Tanzania yaweka mikakati kudhibiti homa ya Marburg
Siku mbili baada ya kutangazwa kuibuka kwa ugonjwa wa Marburg nchini Tanzania Serikali ya nchi hiyo imetoa mwongozo kwa wasafiri kote kwa kuzingatia kanuni za kimataifa, huku ikiagiza utekelezaji wake uanze mara moja.
-

Amnesty inamtaka Rais wa Uganda kukataa mswada ‘wa kutisha’ dhidi ya LGBTQ
Majadiliano kuhusu mswada huo bungeni yamegubikwa na lugha ya chuki ya watu wa jinsia moja na Museveni mwenyewe wiki iliyopita aliwataja mashoga kama “wapotovu hawa”
-

UDA Wataka Odinga Akamatwe Kwa Kuongoza Maandamano Ya Fujo
Wabunge kutoka chama cha tawala cha UDA sasa wanataka muungano wa Azimio la Umoja kuwajibikia uharibifu ulioshuhudiwa wakati wa maandamano makubwa yaliyofanyika Jumatatu.
-

Kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga atoa wito wa kufanyika maandamano ya kila wiki
Wakenya wanakabiliwa na matatizo ya kiuchumi kufuatia hatua za serikali za hivi majuzi za ushuru na kuongezeka kwa bei ya vyakula na mafuta
-

Upinzani wafanya maandamano nchini Kenya
Wakenya wanateseka kutokana na kupanda kwa bei ya mahitaji ya kimsingi, pamoja na kushuka kwa kasi kwa shilingi ya ndani dhidi ya dola ya Marekani
-

Maandamano Yazidi Nairobi, Polisi Wakilazimika Kutumia Vitoa Machozi Kuwatawanya
Wengine kama vile Kiongozi wa Wachache katika Bunge la Seneti Stewart Madzayo na mwenzake wa bunge Opiyo wandayi wamekamatwa na polisi.
-

Polisi wa Kenya wapiga marufuku maandamano ya gharama ya maisha ya upinzani
Odinga alikuwa ameitisha maandamano ya Jumatatu jijini Nairobi kuhusu kupanda kwa mfumuko wa bei, ambao mwezi Februari ulifikia asilimia 9.2 mwaka hadi mwaka nchini Kenya
-

Kardinali Pengo azuru kaburi la JPM
Akizungumuza jana na waandishi wa habari akiwa ofisi ya Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Kardinali Pengo alisema amefanya hivyo kwani hakupata fursa hiyo wakati wa mazishi ya Dk Magufuli.







