Shilingi trilioni 1.4 kutumika kukabiliana na magonjwa ya Malaria, Ukimwi na Kifua Kikuu
Serikali ya Tanzania imepokea jumla ya dola za kimarekani milioni 602 sawa na trilioni 1.4 za kitanzania kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa ya Malaria, Kifua Kikuu na UKIMWI katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2024 hadi 2026.