Moody’s Rating: Kenya’s National Debt Trend is Bad
The American credit rating company Moody’s has downgraded Kenya to the lowest level of debt repayment. According to Moody’s, Kenya…
The American credit rating company Moody’s has downgraded Kenya to the lowest level of debt repayment. According to Moody’s, Kenya…
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma, Musa Abdallah kwa tuhuma za kumn’goa meno matatu mke wake kwa kutumia Praizi kwa kile kilichoelezwa ni ugomvi wa Sh. 200.
Mshitakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022.
Uchaguzi wa rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), umekuwa na sarakasi zilizoibua wadau wa sheria nchini kufuatia kuondolewa kwa jina la miongoni mwa wagombea wa nafasi hiyo Wakili Boniface Mwabukusi jambo linalodaiwa kuwa kuna mchezo mchafu unaendelea ndani ya TLS unaoongozwa na Kamati ya Uchaguzi huo.
Rais Kenya William Ruto leo Jumanne ametia saini kuwa sheria Mswada wa Marekebisho ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka,…
Katika kesi hiyo Kabendera anaoimba mahakama hiyo iiamuru kampuni hiyo imlipe fidia ya Dola za Marekani 10 milioni ambazo ni sawa na shilingi bilioni 28, akiituhumu kuwa ndio iliyofanikishwa kukamatwa kwake na askari Polisi, tukio analoliita kutekwa, na kisha kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, mwaka 2019.
Mahakama Kuu ya Nakuru imesitisha agizo la Rais William Ruto kubuni jopo la kutathmini deni la kitaifa kenya . Hakimu…
Kijana Shadrack Chaula amelipa fedha hizo baada ya kuchangwa na wanaharakati na wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Julai 7 bila shaka ni tarehe muhimu na yenye matukio mengi katika historia ya Afrika Mashariki.
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo kwenda ‘kushinda’ Kariakoo badala ya kukaa ofisini ili kushughulikia changamoto za wafanyabiashara wa eneo hilo pamoja na nchi nzima kisha kumpatia ripoti kila baada ya miezi mitatu.