Maandamano ya Nairobi Kumtaka Kizza Besigye Aachiwe, Kufanyika Februari 24
Mashirika haya yanaitaka serikali ya Uganda iwaachilie mara moja Dr. Besigye, Hajj Obeid Lutale, na wakili Eron Kiiza, na vilevile yasitishwe matumizi ya mahakama za kijeshi dhidi ya raia