Shahidi wa kwanza aanza kutoa ushahidi wake kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu
Shahidi huyo ambaye ni Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) George Wilbart Bagemu, mwenye umri wa miaka 48, ambaye ni afisa mwandamizi wa Jeshi la Polisi mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka ishirini katika taaluma ya upelelezi.