Tanzanians Launch Massive Online Fund Drive to Buy Tundu Lissu New Vehicle
To date, no one has been arrested, charged, prosecuted, or convicted. Lissu’s attackers remain ‘’unknown’’.
All news and updates from Tanzania
To date, no one has been arrested, charged, prosecuted, or convicted. Lissu’s attackers remain ‘’unknown’’.
Mahakama ya Wilaya ya Songwe Mkoani Songwe imemhukumu kifungo cha miaka 30 Simon Salati Mwakasula (65) Mkazi wa Saza Wilaya ya Songwe baada ya kumkuta na hatia ya kosa la kumnajisi mwanafunzi wa darasa la tano shule ya Msingi Chato mwenye umri wa miaka 10.
Mpaka hivi leo bado huduma ya mtandao maarufu kwa kimombo Internet haiko sawasawa na Serikali ya Tanzania kupitia Msemaji wake imesema bado haijajua ni lini huduma hiyo itarejea kwa uhakika.
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu CAG Zanzibar imebainisha kuendelea kwa vitendo vya ufisadi katika wizara, taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.
Kamanda Issango amesisitiza wafanyabiashara hao kufanya kazi kidigitali kwa kuhakikisha wanafunga kamera za usalama (CCTV) kwenye maduka yao
Lengesela pamoja na kamati yake wamefanya ziara katika Kata ya Ilungu ili kukagua uhai wa Chama pamoja na maandalizi katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa baadaye mwaka huu (2024)
“Huenda Kenya ikakabiliwa na kimbunga cha kwanza kabisa
President Samia had previously publicly acknowledged her Zanzibari heritage
Benki ya Dunia imesitisha ufadhili wa mradi mkubwa wa utalii nchini Tanzania kwa madai kuwa umesababisha mateso miongoni mwa maelfu ya wanakijiji.
Bibi Titi Mohammed, with limited formal education but boundless courage, left an indelible mark on Tanzanian history, reminding us of the vital role women played in shaping the nation