Mahakama Yakubali Pingamizi La Lissu, Yakataa Kupokea Vielelezo Vya Ushahidi
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Dustan Nduguru ambaye anaongoza jopo la majaji watatu wanaosikiliza shauri hilo, wakati kesi hiyo ilipokuwa ikiendelea kusikilizwa kwa ajili ya kutolewa uamuzi kuhusu mapokezi ya vielelezo hivyo.