Arts & Culture
-

Visa 5,375 vya mimba za utotoni vyaripotiwa katika wilaya ya Kwania,Uganda mwaka wa 2021.
Kulingana na data, takriban visa 5,375 vya mimba za utotoni viliripotiwa katika wilaya ya Kwania kati ya Januari 2020 hadi Septemba 2021.
-

Kenya Airways inks a deal with South Africa Airways with plans for a pan-African airline group
Kenya’s National carrier Kenya Airways (KQ) has signed an agreement with South Africa Airways (SAA) to boost passenger traffic, cargo opportunities and general trade.
-

Je, kama mzazi upo tayari mwanao ajiunge na mtandao mpya wa Instagram kids?
Mipango yakuanzisha mtandao wa Instagram hususan kwa watoto waliochini ya umri wa miaka 13 kwa jina Instagram Kids umesitishwa kwa sasa.
-

Nyota wa R&B R. Kelly apatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono
Nyota wa muziki kutoka Marekani,Robert Kelly maarufu R.Kelly amepatikana na hatia ya kutumia umaarufu wake katika kuongoza mradi wa unyanyasaji wa ngono dhidi ya wanawake na watoto kwa takriban miaka 30.
-

Burna Boy achukua mapumziko ya muziki.
Burna Boy alishinda tuzo ya “Best World Music Album” mwaka wa 2021 katika tuzo za 63 Annual Grammy Awards
-

Somalia’s National Theatre hosts its first screening in 30 years
Somalia’s National Theatre hosts its first screening in 30 years
-

Siku ya kihistoria, Somalia inapoonesha filamu ya kwanza baada ya miaka 30
Somalia imeonyesha filamu yake ya kwanza baada ya miaka 30 chini ya ulinzi mkali Jumatano 22 nchi hiyo ikiwa na matumaini ya kukuza tamaduni zao. Ukumbi huo wa sinema ulijengwa na wahandisi kutoka China mwaka 1967…
-

Pacha wawili wa Japani wathibitishwa na Guinness World Records kuwa pacha wazee zaidi duniani.
Pacha wawili kutoka Japan wamethibitishwa na Guiness World Records kuwa pacha wazee zaidi duniani wakiwa na umri wa miaka 107 na siku 300.
-

Ni nini Urembo wa Mwanamke?
Kuna jamii tofauti duniani ambazo bado zimeshikilia tamaduni zao, na wanawake katika jamii hizo bado hujipodoa na kuvaa vito vya kitamaduni, mfano jamii za wamasaai, Turkana na Mijikenda nchini Kenya, jamii ya Mursi nchini Ethiopia…







