Tanzania Yakanusha Tuhuma Ya kutoroshwa kwa Wanyamapori Hadi Umoja wa Falme Za Kiarabu
kulikuwa na uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa baadhi ya wanyama pori wanasafirishwa kisiri siri kupitia ndege za mizigo kutoka Loliondo wilaya ya Ngorongoro karibu na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, hadi Umoja wa Falme za Kiarabu.