Karibu nusu ya eneo la EU liko katika hatari ya ukame
Kituo cha Utafiti cha Pamoja cha Tume ya Ulaya kilisema kuwa asilimia 46 ya eneo la Umoja wa Ulaya limekabiliwa na ukame wa kiwango cha juu, huku asilimia 11 ikiwa katika kiwango cha tahadhari
Kituo cha Utafiti cha Pamoja cha Tume ya Ulaya kilisema kuwa asilimia 46 ya eneo la Umoja wa Ulaya limekabiliwa na ukame wa kiwango cha juu, huku asilimia 11 ikiwa katika kiwango cha tahadhari
Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko amewasilisha rufaa katika Mahakama ya Afrika Mashariki kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu zaidi
Adamu Aliero Yankuzo, anayeshukiwa kuwa kiongozi wa genge, aliteuliwa kuwa chifu wa jamii ya Fulani (Sarkin Fulani) katika eneo la Yandoton Daji
Hakuna matibabu au chanjo iliyopo kwa Marburg ,ugonjwa ambao ni hatari kama Ebola.
Alituma barua pepe ya kujiuzulu kwake kutoka Singapore baada ya kusafiri kwa ndege kuenda Singapore kutoka Maldives
Omanyala — mwanamume wa tatu mwenye kasi zaidi duniani msimu huu atapumzika kwa saa chache tu kabla kushiriki katika mbio za mita 100 zinazoanza Ijumaa huko Eugene, Oregon.
Mara ya mwisho kwa mwanamke kuhukumiwa kifo kwa kupigwa mawe kwa kosa la uzinzi nchini Sudan ilikuwa mwaka wa 2013
Meya wa Ufilipino amewaamuru watumishi wa umma kutabasamu, au huenda wakatozwa faini, huku akijaribu kuboresha kiwango cha huduma zinazotolewa na serikali ya eneo hilo
Mji mkuu wa Kenya Nairobi umetajwa katika orodha ya World’s Greatest Places 2022 iliyotolewa na Jarida la Time.
Takriban wahamiaji 23 ambao walikufa mwezi uliopita katika jaribio la kuingia katika eneo la Uhispania la Melilla kutoka Morocco huenda “walikosa hewa,’ shirika la kutetea haki za binadamu la CNDH lilisema.