Nigeria: Mkuu wa UN atoa wito wa kurejeshwa salama kwa wakimbizi waliotoroka mapigano
Zaidi ya watu 40,000 wameuawa na takriban watu milioni 2.2 wamekimbia makazi yao kutokana na mapigano yaliyodumu kwa muongo mmoja kaskazini mashariki mwa Nigeria
Zaidi ya watu 40,000 wameuawa na takriban watu milioni 2.2 wamekimbia makazi yao kutokana na mapigano yaliyodumu kwa muongo mmoja kaskazini mashariki mwa Nigeria
Umoja wa Mataifa unasema eneo la Pembe ya Afrika unakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40.
Wanaharakati wa kiraia wana wasiwasi kwamba Musk,atawaruhusu watu wenye msimamo mkali waliopigwa marufuku kurudi kwenye jukwaa hilo.
Dieudonne Ishimwe, maarufu kama Prince Kid, alitiwa mbaroni kwa tuhuma za “uhalifu unaohusiana na unyanyasaji wa kijinsia,” Ofisi ya Upelelezi ya Rwanda (RIB) ilisema.
Mamlaka ya Nigeria Jumatatu ilikusanya maiti za watu zaidi ya 100 waliokufa katika mlipuko uliotokea kwenye kiwanda haramu cha kusafishia mafuta kusini mwa nchi hiyo
Kukamatwa kwa kokeini imekuwa jambo la kawaida katika Pwani ya Atlantiki ya Afrika Magharibi,eneo linalotumika kwa usafirishaji wa dawa za kulevya kutoka Amerika Kusini kuelekea Uropa.
Baada ya mgonjwa mmoja kufanyiwa uchunguzi, THC kiungo kikuu cha bangi kinachoathiri akili,kilipatikana kwenye damu yake
sio ajali ya kwanza ya aina yake kwa nchi hiyo iliyokumbwa na mzozo na inayokabiliana na mdororo mbaya zaidi wa kifedha kuwahi kutokea.
Conde alikuwa rais wa kwanza wa Guinea kuchaguliwa kidemokrasia mwaka 2010, aliondolewa madarakani na maafisa wa jeshi mwaka jana na nafasi yake kuchukuliwa na Kanali Mamady Doumbouya.
Darfur, ambayo imekumwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyozuka mwaka 2003, imeshuhudia ongezeko la vita na mauaji tangu Oktoba mwaka jana