Msanii wa Nigeria Davido ashirikishwa katika wimbo rasmi wa Kombe la Dunia Qatar 2022
Onyesho la kwanza la wimbo huo litafanyika usiku wa leo kabla ya droo ya makundi inayotarajiwa kuanza saa 19:00 kwa saa za Qatar.
Onyesho la kwanza la wimbo huo litafanyika usiku wa leo kabla ya droo ya makundi inayotarajiwa kuanza saa 19:00 kwa saa za Qatar.
Miaka 20 iliyopita, Aprili 1, 2002, Uholanzi ilikuwa nchi ya kwanza ulimwenguni kuhalalisha “euthanasia”, ambapo mtu husaidiwa kujitoa uhai.
Droo ya Ijumaa itafanyika katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Doha, huku washindi wa zamani wa Kombe la Dunia kama vile Cafu na Lothar Matthaeus wakiwa kati ya wasaidizi wa droo.
Mapigano mapya yalizuka Jumanne kati ya watu wa kabila la Fallata na kabila la Kiarabu katika vijiji vya nje ya Nyala, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kusini
Mahakama ya Upeo nchini Kenya iliamua Alhamisi kwamba pendekezo lenye utata la Rais Uhuru Kenyatta kufanya marekebisho ya katiba si halali
Kaskazini-magharibi na katikati mwa Nigeria ni kitovu cha magenge ya wahalifu wenye silaha kali ambao huvamia vijiji, na kuua na kuwateka nyara wakazi baada ya kupora na kuchoma nyumba zao.
Hili ni Kombe la Dunia la kwanza kufanyika Mashariki ya Kati na litaanza Novemba 21 na fainali inatarajiwa kufanyika Desemba 18.
Afrika Kusini ndio nchi iliyoathiriwa zaidi barani Afrika kutokana na UVIKO 19, ikihesabu zaidi ya visa milioni 3.7 vya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus ikiwa ni zaidi ya asilimia 30
Siku ya Jumanne, Pharoahs wa Misri walikosa nafasi ya kucheza Kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kushindwa na Senegal katika Uwanja wa michezo wa Diamniadio huko Dakar.