Mkuu wa Umoja wa Mataifa aonya janga la UVIKO 19 bado halijaisha, anakashifu ukosefu wa usawa wa chanjo
“Kushindwa kwa usambazaji sawa wa chanjo ni matokeo ya moja kwa moja ya maamuzi ya kisera na kibajeti ambayo yanatanguliza afya ya watu katika nchi tajiri kuliko afya ya watu wa nchi maskini,”alisema Guterres.