Features
-

Heineken, Universal Music kati ya kampuni za hivi punde kuondoka Urusi
Kampuni nyingine McDonald’s, Coca-Cola na Starbucks waliondoa biashara zao Urusi
-

Urusi inasema “kuna maendeleo mazuri” katika mazungumzo na Ukraine
Urusi na Ukraine zimekubaliana kusitisha mapigano kwa siku moja Jumatano katika maeneo ya uokoaji ili kuruhusu raia kutoroka mapigano.
-

Mkuu wa Umoja wa Mataifa aonya janga la UVIKO 19 bado halijaisha, anakashifu ukosefu wa usawa wa chanjo
“Kushindwa kwa usambazaji sawa wa chanjo ni matokeo ya moja kwa moja ya maamuzi ya kisera na kibajeti ambayo yanatanguliza afya ya watu katika nchi tajiri kuliko afya ya watu wa nchi maskini,”alisema Guterres.
-

Kiongozi mkuu wa upinzani Sudan akamatwa kwenye maandamano
Takriban watu 85 wameuawa na mamia kujeruhiwa na vikosi vya usalama wakati wa miezi minne ya maandamano ya kudai utawala wa kiraia na haki
-

Mwanawe Rais Museveni atangaza kustaafu katika jeshi la Uganda
Ingawa Kainerugaba amekanusha mara kwa mara madai kwamba ana nia ya kumrithi babake waangalizi wanaashiria kupanda kwake haraka kupitia safu ya jeshi la Uganda kama thibitisho kwamba alikuwa akiandaliwa kwa ajili ya kazi hiyo ya…
-

Vita vya Urusi na Ukraine: Matukio ya hivi punde
Umoja wa Mataifa unasema watu milioni 1.7 wameikimbia Ukraine, na kuufanya mzozo huu kuwa mkubwa zaidi na unaokuwa kwa kasi zaidi tangu Vita vya Pili vya Dunia.
-

Moderna yaanzisha kituo cha kwanza cha kuzalisha chanjo ya UVIKO 19 nchini Kenya
Moderna ilisema ilitarajia kuwekeza dola milioni 500 katika kituo hicho kipya, ambacho kitatoa chanjo kwa bara la watu bilioni 1.3.
-

Watu wanne wafariki kutokana na homa ya manjano nchini Kenya
Ugonjwa huo huenezwa na mbu wale wale wanaoneza magonjwa ya Zika na dengue.
-

Kenya: Polisi yawatia mbaroni waendesha bodaboda 16 kwa kumshambulia mwanamke
Kamanda wa Trafiki Nairobi Joshua Omukata alisema washukiwa hao 16 wanazuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Parklands huku uchunguzi kuhusu kisa hicho ukiendelea.
-

Ukraine yakataa kutoa njia salama kwa Urusi kwa wakimbzi wanaotoroka mashambulizi
Vladamir Putin ameahidi atatimiza lengo lake kwa njia yoyote ile iwe “kwa mazungumzo au kupitia vita”







