Mumewe Agnes Tirop ndiye mtuhumiwa mkuu wa mauaji yake
Mauaji ya mwanariadha wa Kenya Agnes Tirop huenda yalitokana na mzozo wa kimapenzi.
Mauaji ya mwanariadha wa Kenya Agnes Tirop huenda yalitokana na mzozo wa kimapenzi.
Rais Ndayishimiye anasema agizo hilo ni kwa heshima ya mwendazake rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aliyekuwa ameokoka
Tangu shindano hilo lilipozinduliwa 1952, mataifa manne ya Afrika. Afrika Kusini, Botswana, Namibia na Angola yameshinda tuzo hiyo.
Mnada ulifanywa na Catawiki kwa lengo la kupata fedha za kufadhili elimu ya wanafunzi maskini kupitia wakfu wa Eliud Kipchoge.
Compulsory pregnancy testing on teenage girls a violation of right to privacy.
Filamu za James Bond zinatokana na vitabu vilivyoandikwa na Ian Fleming, mwandishi kutoka Uingereza aliyeandika vitabu hivyo hadi mwaka 1953.Nyota wa vitabu hivyo James Bond akiwa ni jasusi anayejulikana kwa jina “007”
Mjukuu wake Zere Natabay, anasema anarekodi za kanisa, ikiwemo cheti chake cha kuzaliwa kinachoonesha kuwa alizaliwa mwaka wa 1894, pamoja na mwaka aliobatizwa ikithibitisha aliaga dunia akiwa na umri wa miaka 127.
Inadaiwa kuwa, mtuhumiwa huyo mwenye umri wa miaka 45, alimshambulia mwathiriwa kwa kumpiga na kumuuma vidole ili amtoe pepo.
Kulingana na data, takriban visa 5,375 vya mimba za utotoni viliripotiwa katika wilaya ya Kwania kati ya Januari 2020 hadi Septemba 2021.
Investigators report allegations of sexual abuse by WHO staff deployed to fight an Ebola outbreak in the DRC