Asia
-

Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in, apendekeza marufuku ya ulaji wa nyama ya mbwa
Nyama ya mbwa imekuwa kati ya vyakula vinavyopendwa sana nchini Korea kusini ikiaminika kuwa mbwa milioni moja huliwa kila mwaka.
-

Msichana wa miaka 15 abakwa mara kadhaa na wanaume 26
Mwaka wa 2020, India ilirekodi visa 28,046 vya ubakaji ikiwa ni takriban visa 77 vya ubakaji kila siku.
-

Taliban inataka kushirikishwa katika mijadala ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) Marekani
Taliban inataka kushirikishwa katika mijadala ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) Marekani
-

Pacha wawili wa Japani wathibitishwa na Guinness World Records kuwa pacha wazee zaidi duniani.
Pacha wawili kutoka Japan wamethibitishwa na Guiness World Records kuwa pacha wazee zaidi duniani wakiwa na umri wa miaka 107 na siku 300.
-

Kuosha vyoo vya wanawake ndio kazi pekee wanawake wa Afghan wanaruhusiwa kufanya.
Kazi ambazo wanawake Afghanistan wanaruhusiwa kufanya pekee ni zile ambazo wanaume hawawezi kufanya, kama kusafisha vyoo vya wanawake. Wafanyakazi wanawake waliokuwa wakifanya kazi katika serikali ya mji wa Kabul wameambiwa wasiende kazini tena, wanawake watakaoruhusiwa…
-

Boxing legend Manny Pacquiao to run for president
“I am a fighter, and I will always be a fighter inside and outside the ring…I am accepting your nomination as candidate for president of the Republic of the Philippines.”
-

Mambo mawili yanayoitambulisha Afghanistan; Taliban na Afyuni
Afghanistan ni taifa linaloongoza katika upanzi wa mmea unaojulikana kama afyuni. Hutumika katika utengenezaji wa dawa tofauti za kulevya ikiwemo heroini.
-

Fahamu kuhusu Taliban, kundi lililochukua siku 10 pekee kuiteka Afghanistan na kumfurusha rais wa nchi
Ilichukua Taliban siku10 pekee kuiteka Afghanistan baada ya kuondoka kwa majeshi ya Amerika na kumlazimsha Rais Ashraf Ghani kutorokea Falme za Kiarabu, ila Taliban ni nani haswa?
-

Mwanajeshi wa mwisho wa Marekani aondoka Afghanistan baada ya miaka 20
Wanamgambo wa Taliban washeherekea kuondoka kwa majeshi ya Marekani kwa kufyatua risasi hewani.
-

WAKIMBIZI WA AFGHANISTAN WAENDELEA KUHAMISHWA
Marekani hadi sasa imefaulu kuwahamisha takriban waafghan 4000 na familia zao wanaoshikilia pasipoti za Marekani.







