Tetemeko la ukubwa wa 6.7 katika kipimo cha Richter lapiga pwani ya Nicaragua: USGS
Tetemeko la ardhi la kipimo cha 6.7 lilitokea kwenye pwani ya magharibi ya Nicaragua siku ya Alhamisi,
Tetemeko la ardhi la kipimo cha 6.7 lilitokea kwenye pwani ya magharibi ya Nicaragua siku ya Alhamisi,
Italia inataka kuongeza Angola na Congo-Brazzaville kwenye orodha ya mataifa wasambazaji wa gesi kuchukua nafasi ya Urusi, ambayo huisambazia Italia takriban asilimia 45 ya gesi
Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi amesema waukraine 5,034,439 wameondoka nchini mwao tangu kuanza kwa uvamizi wa Urusi tarehe 24 ya mwezi Februari mwaka huu.
The “seismic” impact of the war in Ukraine is spreading worldwide, causing the IMF on Tuesday to sharply downgrade its…
Cristiano Ronaldo na mpenzi wake Georgina Rodriguez wametangaza Jumatatu kuwa mtoto wao mchanga amefariki dunia. Ronaldo alifichua katika chapisho la…
Explosions were heard in the Vasylkiv area outside the capital
Fresh violence as Jewish and Christian festivals overlap with Ramadan
Chanjo iliyopo ya homa ya uti inatoa kinga dhidi ya kisonono, tafiti tatu zilisema
Kaskazini mwa Burkina Faso ni kitovu cha mashambulizi ya wapiganaji wa Kiislamu waliovuka mpaka kutoka nchi jirani ya Mali mwaka wa 2015
The city fire department said six other people were wounded as panicked passengers fled the smoke-filled train