International
-

Afariki dunia kwa UVIKO 19 baada ya kuachiliwa kutoka gerezani.
“Hakuwa na kinyongo na mtu yeyote, angestahili kuwa na hasira na dunia, lakini hakuwa na hasira na mtu yeyote. Aliomba na akawasamehe wale waliomfunga kimakosa” David, kake Damon alisema.
-

Rais wa zamani wa Algeria aaga dunia
Rais wa zamani wa Algeria Abdelaziz Bouteflika, aliyepigania uhuru wa taifa lake kutoka kwa ukoloni wa Ufaransa ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 84. Abdelaziz Bouteflika,alikuwa rais wa Algeria kwa miaka 20 kutoka mwaka…
-

Mambo mawili yanayoitambulisha Afghanistan; Taliban na Afyuni
Afghanistan ni taifa linaloongoza katika upanzi wa mmea unaojulikana kama afyuni. Hutumika katika utengenezaji wa dawa tofauti za kulevya ikiwemo heroini.
-

Microsoft’s passwordless plans lets users switch to app-based login
Microsoft has announced users can now delete all passwords from their accounts and instead login using an authenticator app or other solution.
-

ECOWAS imposes sanctions on Guinea’s military government over coup
ECOWAS imposes sanctions on Guinea’s military government over coup
-

Apple iPhone 13 brings portrait mode for video
Apple has announced its new iPhone 13, which can film “portrait mode” videos with a depth of field effect.
-

ECOWAS yaiwekea Guinea vikwazo
Rais wa ECOWAS Jean-Claude Kassi Brou amesema bila shaka kuwa ECOWAS imeiwekea Guinea vikwazo.
-

British American Tobacco negotiated bribe for Mugabe, to free jailed bosses
A BBC Panorama investigation has found evidence that suggests one of Britain’s biggest companies paid a bribe to the former Zimbabwean leader Robert Mugabe.
-

Fahamu kuhusu Taliban, kundi lililochukua siku 10 pekee kuiteka Afghanistan na kumfurusha rais wa nchi
Ilichukua Taliban siku10 pekee kuiteka Afghanistan baada ya kuondoka kwa majeshi ya Amerika na kumlazimsha Rais Ashraf Ghani kutorokea Falme za Kiarabu, ila Taliban ni nani haswa?
-

Dispute over one of Africa’s biggest dams still growing
Dispute over one of Africa’s biggest dams still growing







