Waathiriwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda wasikitishwa na uamuzi wa kuachiliwa kwa Kabuga
Alikamatwa mjini Paris 2020 baada ya kukimbia kwa miongo miwili, Kabuga aliyekuwa akitumia kiti cha magurudumu alifikishwa mahakamani Septemba iliyopita na akakana mashtaka.