Watanzania waishtaki kampuni ya madini ya Barrick Gold kwa ukiukaji wa haki za binadamuÂ
Kundi la Watanzania limewasilisha kesi katika mahakama ya Canada. dhidi ya kampuni kubwa ya uchimbaji madini ya Barrick Gold, kwa ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu