Rais mpya wa Msumbiji kuapishwa leo huku maandamano yakipamba moto.
Msumbiji imeanza sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule Daniel Chapo ambaye anachukua nafasi yake baada ya wiki kadhaa za machafuko ya kisiasa yaliyosababisha vifo vingi.
Msumbiji imeanza sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule Daniel Chapo ambaye anachukua nafasi yake baada ya wiki kadhaa za machafuko ya kisiasa yaliyosababisha vifo vingi.
Donald Trump will speak online to the annual meeting of the global political and business elite in Davos next week, days after taking office as US president, the World Economic Forum said on Tuesday.
Two opposition parties, Renamo and MDM, announced they would boycott Monday’s session, which will swear in new parliamentarians. Renamo won 28 seats in the 250-seat house and the Democratic Movement of Mozambique (MDM) took eight.
Msumbiji inajiandaa kuapisha bunge lake jipya leo Jumatatu, baada ya miezi kadhaa ya maandamano ya vurugu kufuatia uchaguzi uliofanyika Oktoba, ambao upinzani unasema ulighushiwa.
Kuapishwa kwa Maduro kumekumbwa na utata mkubwa, huku kiongozi wa upinzani Edmundo Gonzalez akidai kuwa alishinda uchaguzi kwa 67% ya kura.
A defiant Maduro, 62, adorned with an oversized yellow, blue and red presidential sash, shrugged off the outcry over his unproven claim to have won another six-year term, saying that his investiture was a “great victory for Venezuelan democracy.”
Jimmy Carter brought a fleeting moment of national unity to a divided America Thursday as all five living US presidents gathered for their predecessor’s moving state funeral in Washington’s National Cathedral.
Venezuela’s President Nicolas Maduro, in office since 2013, is due to take the oath of office for a third term Friday despite a global outcry that brought thousands out in protest on the ceremony’s eve.
Vikosi vya usalama vilizuia wafuasi wake kufika kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo kumlaki Venancio Mondlane alipoingia, ambapo mtu mmoja aliuawa kwa kupigwa risasi na kujeruhiwa kwenye moja ya vizuizi.
Wapiganaji wa M23, wanaoungwa mkono na Rwanda, waliteka mji wa Masisi, mji muhimu katika kanda ya madini ya DRC, siku ya Jumamosi.