Politics
-

Former Botswana President,Ian Khama Declares Tanzania’s President Illegitimate
Khama condemned leaders who cling to power through violence and manipulation, saying, “It is totally unacceptable when an African leader, in order to stay in power, will resort to killing his or her own people,…
-

Kesi ya Uhaini Dhidi ya Tundu Lissu Yaahirshwa Kwa Sababu za Kiusalama
Wakili wa Serikali, Thawabu Issa, akiwasilisha maelezo kwa niaba ya wenzake, alieleza kuwa baada ya kufika mahakamani na kutomuona mshtakiwa, walifanya mawasiliano na Jeshi la Magereza ambapo Mkuu wa Magereza aliwataarifu kwamba Lissu hakuweza kufikishwa…
-

Mahakama Kuu kusikiliza maombi ya Habeas Corpus ya John Heche
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi, maombi hayo yamesajiliwa na kupangwa mbele ya Jaji Obadia Bwegoge.
-

ACT Wazalendo yashinikiza uchunguzi wa Kimataifa dhidi ya mauaji ya waandamanaji
Taarifa hiyo ya ACT Wazalendo ambayo imetolewa leo Alhamisi Novemba 6, 2025, imeeleza kuwa matukio hayo si uvunjifu wa haki za binadamu tu bali pia mamlaka zimekosa utu kwa kutozingatia misingi ya utawala bora.
-

AU: Uchaguzi wa Tanzania ulivurugwa
Katika ripoti yake ya awali, Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa AU ulisema kuwa baadhi ya wapiga kura walipatiwa karatasi nyingi za kupigia kura, na wengine waliruhusiwa kupiga kura bila majina yao kuthibitishwa kwenye daftari…
-

Tanzania’s 13th Parliament to Begin November 11 Amid Political Turmoil and Global Scrutiny
The opening of Parliament comes amid intense national unrest and international condemnation following the disputed October 29 elections. Over 700 people have reportedly died in post-election protests, according to opposition sources, with security forces accused…
-

Mwabukusi: Kumtuhumu Heche Kwa Ugaidi Ni Kuitia Aibu Taaluma Ya Sheria
Kiongozi huyo wa TLS alidai kuwa Heche alikamatwa na kuzuiliwa kinyume cha sheria, na kwamba wakati wa tukio hilo, vyombo vya dola vilikuwa.










