Ali Kibao azikwa, wananchi wataka Waziri wa Mambo ya Ndani ajiuzulu
Leo, Septemba 9,2024 mwili wa Ali Kibao, kada maarufu wa chama cha Chadema ambaye alifariki baada ya kutekwa umezikwa huku umati mkubwa wa watu umejitokeza kushuhudia safari yake ya mwisho iliyojaa huzuni ya kutafakarisha