Mbio za WRC Safari Rally Kenya Yapata Ufadhili
Kampuni Ya, Bang Bet imetangaza kuwa itafadhili madereva wawili wa Mbio Za safari Rally, Gerald Maina, na John Ngugi Katika awamu ya mwaka huu la Mashindano ya Ubingwa wa Dunia (WRC) ya safari rally yatakayofanyika Kaunti ya Nakuru kati ya tarehe 22 na Tarehe 25 Juni 2023.