Droo ya Kombe la Dunia la mwaka huu kufanyika mjini Doha leo Ijumaa 1 Aprili
Droo ya Ijumaa itafanyika katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Doha, huku washindi wa zamani wa Kombe la Dunia kama vile Cafu na Lothar Matthaeus wakiwa kati ya wasaidizi wa droo.