Sekta ya michezo yatajwa kukua nchini Tanzania.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema sekta ya Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini humo imekuwa kwa kiasi kikubwa na imeanza kuleta tija kwa maisha ya Watanzania kutokana na miongozo thabiti inayotolewa na Serikali