Mwanariadha wa Uganda Cheptegei afariki baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake
Mwanamichezo wa Uganda, Rebecca Cheptegei, amefariki nchini Kenya siku nne baada ya kuteketezwa kwa moto na mpenzi wake, taarifa kutoka kwa maafisa wa michezo wa Uganda zilisema leo Alhamisi.