Uganda yakamata mtuhumiwa mkuu wa Utekaji wa Mtalii wa Marekani Mwaka 2019
Kimberly Sue Endicott, raia wa Marekani, pamoja na dereva wake raia wa Uganda walitekwa nyara tarehe 2 Aprili, 2019 na watu wenye silaha waliodai fidia ya dola 500,000 za Kimarekani.